Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Nandy hajamfikia hata Zuchu, nini Diamond?

Baba Levo, Diamond, Zuchuu Baba Levo: Nandy hajamfikia hata Zuchu, nini Diamond?

Sat, 17 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chawa Pro Max, Baba Levo amesema kumlinganisha Diamond na Nandy ni kosa kubwa ambalo watu wanaweza kulifanya.

Amesema ngoma ya Nandy ya Daah kufika namba moja trending huku ya Diamond ikiwa haijafika sio kigezo cha kusema wanalingana.

"Nandy hajafika hata levo za Zuchu hivyo kumlinganisha na Diamond ni kumkosea heshima boss Diamond," alisema Baba Levo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live