Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Mwijaku amefukuzwa na Harmonize

Baba Levo Ss Baba Levo: Mwijaku amefukuzwa na Harmonize

Thu, 6 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva na chawa wa CEO wa WCB, Diamond Platnumz, Baba Levo ameibuka na madai kuwa mtangazaji wa Clouds Media, Burton Mwemba maarufu kama ‘Mwijaku’ amefukuzwa kazi ya uchawa na CEO wa Konde Gang, Harmonize.

Aidha, Baba Levo amemtaka Mwijaku amng'ang'anie Diamond ili kazi na aweze kuishi vizuri mjini; “Kina Mwijaku wamefukuzwa hawatakiwi tena,” amesema Baba Levo.

Hata hivyo katika wimbo mpya wa Harmonize ametaja wakina Mwijaku na kusema hawahitaji, huenda hiyo ndio sababu Baba Levo anaamini kuwa wamefukuzwa kweli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live