Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Msihofu ndege za Diamond zinakuja

BABA LEVO NA MONDI Baba Levo: Msihofu ndege za Diamond zinakuja

Mon, 27 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku za hivi karibuni zilitoka taarifa kuwa CEO wa WCB, Diamond Platnumz yupo kwenye mpango wa kununua ndege yake na ilitakiwa iwe imefika lakini mpaka sasa kulikuw ana ukimya.

Baba Levo ameeleza kuwa ni kweli na Ndege ya Diamond Platnumz ikitarajiwa iwe imefika lakani taratibu zinaendelea za kuhakikisha Ndege inafika.

"Kuna uchunguzi inabidi ufanyike, kuna watalaam wetu wanatakiwa waende kule wakaikague ndio maana nasema zimechelewa kidogo," alisema Baba Levo.

Pia amesema kuwa Diamond Platnumz hanunui ndege binafsi tu bali na Helikopta ipo njiani inakuja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live