Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Lulu Diva na Nandy wamekopi wimbo wa Zuchu

Baba Levo Amtetea Diamond Baba Levo: Lulu Diva na Nandy wamekopi wimbo wa Zuchu

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji na Msanii wa Muziki Baba Levo amewashtumu mastaa wa muziki Lulu Diva na Nandy kuwa wamecopy wimbo wa Zuchu, Honey.

Siku ya jana Mastaa Lulu diva na Nandy waliachia ngoma yao inayoitwa Mtaalamu ambayo imeandaliwa na Producer LG huku ngoma ya Zuchu Honey ikiwa imeandaliwa na Producer huyo huyo LG.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa #Babalevo ameandika....

"MMEKOPY JAMANI, WAMAMA WATU WAZIMA MLOKOSA AIBU…!!"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live