Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Diamond kafanyiwa fitna kutotajwa na Kamala

Baba Levo Amtetea Diamond Baba Levo: Diamond kafanyiwa fitna kutotajwa na Kamala

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Wasafi FM, Baba Levo ameeleza kuwa bos wake Diamond Platnumz kutotajwa na Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris kwenye orodha yake anahisi ni fitna na amedanganywa.

Baba Levo ameongeza kuwa Diamond Platnumz ndio msanii pekee kutoka Tanzania anayesikilizwa zaidi huko alikotokea Kamala ambapo ni Marekani je itakuwaje asiwepo kwenye orodha?

Ameenda mbali zaidi akisema kwa upande wake yeye anahisi ni propaganda za kisiasa tu ila hazina uhalisia na huwenda wasanii waliotajwa hata Kamala hajawahi kuwasikiliza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live