Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Levo: Dalili ya umasikini ni roho mbaya

Makubwa! Baba Levo Atangaza Kuunza Akaunti Yake Ya Insta Sh. Bil. 1 Baba Levo.

Wed, 6 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki na mtangazaji #BabaLevo amedai dalili za mtu kuwa masikini nifanya roho mbaya isiyo na sababu kwa kushangilia matatizo ya mwenzako.

Mwanamuziki na mtangazaji #BabaLevo amedai dalili za mtu kuwa masikini nifanya roho mbaya isiyo na sababu kwa kushangilia matatizo ya mwenzako. Akiwa katika Interview na mmoja ya chombo cha habari ameeleza kuwa umasikini unatokana na mtu kutofurahia mafanikio ya mwingine na akipata tatizo unakuwa wa kwanza kufurahia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live