Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba Drake apambana na wanaomchukia mwanae

Dennis Graham X Drake Baba Drake apambana na wanaomchukia mwanae

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dennis Graham, ambaye ni baba mzazi wa mwanamuziki Drake awajua juu wanaomchukia na kumkosoa mwanaye.

Katika kuonesha hasira zake juu ya wanaomchukua mwanaye baba huyo amedai kuwa hatavumilia dharau yoyote kwa familia yake.

Hata hivi kutokana na hilo wengi wamekuwa wakihusisha hasira za baba huyo na tukio la mtangazaji Joe Budden lililotokea siku chache baada ya Drake kuachia albamu yake ya "For All The Dogs", la kuikosoa albamu hiyo. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live