Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya kuondoka Konde Gang, Jabulant aomba kazi

Xgf Jabulant Baada ya kuondoka Konde Gang, Jabulant aomba kazi

Wed, 9 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hivi karibuni, aliyekuwa mpiga picha wa Harmonize, Jabulan alitangaza kuacha kufanya kazi Konde Gang.

Baada ya kutangaza watu wengi walidhani kwamba amefanya hivyo ili azungumziwe kwenye mitandao ya kijamii.

Leo hii Kupitia Insta Story, Jabulant amekanusha dai hilo, amefunguka kwamba hajasimama kufanya kazi Konde Gang ili azungumziwe kwenye mitandao bali amesimama kwa sababu ya Maslahi ya Maisha yake.

Jambo kubwa zaidi ameweka wazi kuwa yupo tayari kupokea Kazi kutoka Kwa Mtu Yoyote.

"Sijasimama kufanya kazi na KondeGang ili ni Trend kwenye mitandao, but Nimesimama kufanya kazi KondeGang kwa Maslai ya Maisha Yangu, Ndio mana hujaona nimefanya interview yoyote kuzungumzia swala la Mimi kuacha kazi KondeGang, Na nimepost kwa sababu watu wajue kuwa sipo katika taasisi hiyo husika.

Mimi ni kijana ninaejipambania maisha Yangu, So msisite kunipa kazi, I'm Free na ninaweza kufanya kazi na mtu yoyote"--Jabulant.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live