Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya Mungu ni Diamond-Baba Levo

Baba Levo Na Diamondii Baada ya Mungu ni Diamond-Baba Levo

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kila mtu kwnye maisha yake amechagua kuwa vile ambavyo yeye anataka. Mtangazaji na msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo, ameamua kuwa chawa wa Diamond na kumwagia sifa kama zote.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Baba Leveo ameibuka na kauli yake mpya ya kuzidi kudhihirisha uchwawa wake.

"BILA @diamondplatnumz NINGEKUWA KIJIJINI NALIMA MAWESE ...!!! Wazazi wangu Walifariki 1999 ???????? KWANGU MIMI BAADA YA MUNGU NI Diamond Platnumz."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live