Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada Tiwa Savage, Sauti Sol kuamsha na Khaligraph Jones

4509 28428368 949063338596147 191279336349761536 N TZW

Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Kundi la muziki kutoka nchini Kenya, Sauti Sol wameingia studio na rapper Khaligraph Jones.



Aliyetoa taarifa kuhusu ujio wa kazi yao ni Khaligraph Jones. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika;

I Just found out that am taller than the Sauti

Sol Boyz, but @itsmefancyfingers is trying, @bienaimesol cant even see me , @savarafrica and @iamchimano are not even in this Race.. We cooking something though, Hope y’all Ready..

Khaligraph Jones ni miongoni mwa wasanii ambao kwa sasa wanafanya kolabo nyingi sana nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Sauti Sol kwa sasa wanafanya vizuri na wimbo wao Girl Next Door walimshirikia Tiwa Savage kutoka Nigeria.
Chanzo: bongo5.com