Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Snura atangaza kuacha muziki

SNURA AACHA MUZIKI.png #BREAKING: Snura atangaza kuacha muziki

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Snura atangaza kuacha muziki rasmi, aomba nyimbo zake zisipigwe tena

Snura Mushi ametangaza kuacha rasmi muziki na shughuli za kisanaa na kujikita zaidi kwenye dini.

Amezitaka media na watu binafsi kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa amebadilisha aina ya maisha yake kabisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live