Menu ›
Burudani
Tue, 3 Oct 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Producer Mkongwe kutoka kiwanda cha Bongo Fleva, Joachim Marunda Kimaryo "Master Jay" ameteuliwa kuwa mjumbe wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).
Uteuzi huo umefanywa Leo Oktoba 3 na Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dr. Damas Ndumbaro.
Soma kwa urefu hapa chini taarifa ya Wizara;
Chanzo: www.tanzaniaweb.live