Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Diamond Platnumz alivyofika Mahakamani Kisutu leo

2834 Diamond 12 660x400

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 8, 2018 Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz na Mzazi mwenzie Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza shauri lao la matunzo ya mtoto. Nimekuwekea Video ya Diamond na Hamisa walivyofika Mahakamani



Chanzo: millardayo.com