Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BASATA yaufungia wimbo wa Madee

Madee Ali BASATA yaufungia wimbo wa Madee

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa ya kuufungia wimbo mpya wa Madee aliouchia Disemba 13 kwa kosa kubwa la kukiuka kanuni za BASATA za mwaka 2018 na mwongozo wa maadili wa kazi za sanaa mwaka 2023.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa taarifa ya kuufungia wimbo mpya wa Madee aliouchia Disemba 13 kwa kosa kubwa la kukiuka kanuni za BASATA za mwaka 2018 na mwongozo wa maadili wa kazi za sanaa mwaka 2023. Madee amepewa adhabu ya kulipa faini ya Tsh milioni 3 na kutofanya shughuli zozote za kisanii mpaka atakapolipa faini hiyo pia Producer wa ngoma hiyo Mr T Touch naye anatakiwa kulipa faini ya Tsh milioni 1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live