Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BASATA kuja na mpango wa kuwainua Wasanii Kiuchumi

MKurugenza BASATA Mkurugenzi Mtendaji Baraza La Sanaa BASATA Dr. Kedmon Mapana

Wed, 14 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwasilisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka 2023/2024, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) laanzisha mpango wa kuwatafutia Wasanii wa Tanzania masoko ya kazi zao ndani na nje ya nchi ili wanufaike kiuchumi.

Baada ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwasilisha bajeti yake kwa kipindi cha mwaka 2023/2024, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) laanzisha mpango wa kuwatafutia Wasanii wa Tanzania masoko ya kazi zao ndani na nje ya nchi ili wanufaike kiuchumi. Baraza ilo limeandaa program mbalimbali wakishirikiana na Ubalozi wa Ufaransa mojawapo ni “BASATA VIBE” itakayozinduliwa mwezi Julai Mwaka huu na baadae kufuatiwa na matamasha zaidi ya 20 nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live