Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BARNABA AACHIA ALBAM YAKE ILIYOSUBIRIWA KWA HAMU KUBWA

Capture 563?fit=567%2C596 BARNABA AACHIA ALBAM YAKE ILIYOSUBIRIWA KWA HAMU KUBWA

Mon, 14 Dec 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva Elias Barnaba ameachia rasmi album yake mpya iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki zake.

Katika kuumaliza mwaka 2020, Barnaba awabariki mashabiki zake na “Refresh Mind” yenye jumla ya ngoma 14, ikiwa na kolabo 6 pekee ambapo ameshirikiana na wasanii mbalimbali wa ndani ya nchi akiwemo Mimi Mars, Dogo Janja, G Nako, Country Wizzy, Nikki wa Pili, Malkia Karen, Linah na Christian Bella.

Kupitia ukurasa wake wa instagram, @barnabaclassic amemshukuru Mungu kwa kuweza kuikamilisha Album hiyo na hatimae kuitoa, “Asante mwenyezi MUNGU – haikua rahisi Lakini kwasababu ya Neema zako Tu Final my

Chanzo: zanzibar24.co.tz