Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BABU TALE “Hatuja nunua nyumba, Ugumu upo tutazungumza tukikaa na BASATA

1437 Oo 660x400

Thu, 18 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Baada ya Story ya mjengo mpya alioupost Diamond Platnumz kushika headlines katika mitandao na hata vijiwe vya stori huku wengine wakisema kanunua na wengine wakisema kapangisha. AyoTv na millardayo.com tumempata Meneja wa Diamond Platnumz.

Babu Tale katika mahojiano na AYO TV alipoulizwa swali kuhusu mjengo huo amesema kuwa watazungumza baada ya kukaa na BASATA.

Babu Tale amesema hawajanunua nyumba na wao kama uongozi hawajazungumzia hilo suala ila wanasubiri kukaa na BASATA halafu watakuja kuzungumza na kusema kama wamenunua au wamepangisha na tarehe ambayo  Radio yao itafunguliwa.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza BABU TALE akielezea..

EXCLUSIVE: Dalali aliyemuuzia nyumba Diamond kafunguka gharama za mjengo huo mpya



Dalali mwingine azungumza asema Diamond kapangisha hajanunua mjengo

Chanzo: millardayo.com