Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BABA DIAMOND – “SIJAWAHI KUONGEA NA ZARI, WEMA NA HAMISA NIMEONGEA NAO”

480 Pjimage 12 660x400 TZW

Thu, 21 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Baba mzazi wa staa Bongofleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, Mzee Abdul amezungumza kuhusu kuwahi kukutana na Zari ambaye ni mkwe wake aliyezaa na mtoto wake Diamond ambapo amesema hajawahi kuzungumza na ZARI toka amemsikia,  ila Wema Sepetu na Hamisa Mobetto ameshawahi kuongea nao.

Baba wa Diamond amesema kwamba aliwai kuzungumza na Wema Sepetu kwani alishawai kwenda kumtembelea kipindi alipokuwa na Diamond lakini pia amezungumza na Hamissa kipindi alipoenda  kuhudhuria kwenye 40 ya mjukuu wake kwa Hamissa.

Bonyeza PLAY kusikikiliza FULL STORY..

Baba Diamond Kafunguka ishu ya Mama Diamond kuolewa “Msiniingilie na mama Diamond”

Chanzo: millardayo.com