Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BABA DIAMOND KAFUNGUKA TENA “Queen Darleen aache mambo ya Ovyo”

497 DARLEEN1 592x400 TZW

Fri, 22 Dec 2017 Chanzo: millardayo.com

Abdul Juma ni baba mzazi wa mkali wa Bongofleva Diamond Platnumz na dada yake Queen Darleen amezungumza kuhusu maendeleo ya watoto wake kimuziki kwa mwaka 2017  amesema kwamba anafurahia sana maendeleo yao ya kimuziki ila anatamani sana kumuona Queen Darleen akiacha mambo ya ajabu ili afike mbali kimuziki..

Mzee Abdul amesema kwamba Queen Darleen alishaanza kupotea kwenye Game ya muziki lakini toka ameanza kufanya kazi na kaka yake Diamond kaanza kufanya vizuri kitu kikubwa anachokiomba awe na nidhamu kwa mkubwa na mdogo ili afanikiwe zaidi..

Bonyeza PLAY kusikiliza Full Story..

Baba Diamond Kafunguka ishu ya Mama Diamond kuolewa “Msiniingilie na mama Diamond”

Chanzo: millardayo.com