Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

B 12 adai muziki wa BongoFleva unapotezwa na ‘kiki’ za wasanii (Video)

Video Archive
Mon, 28 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds FM, B Dozen amefunguka kwa kueleza dalili mbaya ambazo ameziona kwenye muziki wa BongoFleva. Dozen amedai muziki wa BongoFleva kwa sasa unapotezwa na kiki nyingi za wasanii huku akidai wakenya wameanza kuja juu kwa kasi kwenye soko la muziki.

Loading...
Chanzo: bongo5.com