Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aziba mashimo zaidi ya 600 Barabarani baada ya kifo cha mwanae

Aziba Mashimo 600.jpeg Aziba mashimo zaidi ya 600 Barabarani baada ya kifo cha mwanae

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je Wajua? Huko nchini India Julai 28, mwaka 2015, mkazi wa jiji la Mumbai aliyefahamika kwa jina la Dadarao Bilhore alipoteza mtoto wake wa kiume Prakash, baada ya baiskeli aliyokuwa akiendesha kutumbukia kwenye shimo refu kwenye Barabara ya Jogeshwari-Vikhroli na kumsababishia kifo.

Tangu wakati huo, Bhilhore alianza kujaza mashimo yote kwenye barabara za jiji hilo ili kuzuia matukio kama hayo. .

Bhilore anasema hataki msafiri yeyote apoteze maisha kwasababu ya mashimo kama ilivyokuwa kwa mtoto wake Prakash.

Hadi kufikia mwaka 2020 alikuwa tayari ameshaziba mashimo 6,000

Mzee huyo Alisema hataacha kazi hiyo hadi aifanye India isiwe na mashimo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live