Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ayra Starr jukwaa moja na Kiba

AYRA Ayra Starr jukwaa moja na Kiba

Wed, 17 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii kutoka nchini Nigeria Ayra Starr yupo tayari kuja kutumbuiza kwenye jukwaa moja na Mfalme wa Bongo Flava Alikiba kwenye tamasha la Lockin255 linalotarajiwa kufanyika Jumamosi ya Mei 20, mwaka huu pale Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ayra Starr kwenye Instastory ameweka cover ya show hiyo na kuandika "Tanzania Soon".

Kumbuka hili ni tamasha linaloenda kuwakutanisha Alikiba na Ayrastarr kwenye jukwaa moja kila mtu anatamani kuiona siku hii ya kihistoria.

Milango ya Super Dome pale itaachwa wazi kuanzia saa 12:00 jioni na tiketi zote zinapatikana kwenye App ya Nilipetz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live