Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Awanyima watoto urithi, awapa mbwa na paka

Awanyima Watoto Urithi, Awapa Mbwa Na Paka Awanyima watoto urithi, awapa mbwa na paka

Wed, 31 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja aitwaye #Liu kutoka Shanghai nchini China ameamua kuwanyima urithi watoto wake na kuwapatia wanyama wake Mbwa na Paka utajiri wake wa dola milioni 2.8 ambayo ni tsh 7.2 bilioni.

Mwanamke mmoja aitwaye #Liu kutoka Shanghai nchini China ameamua kuwanyima urithi watoto wake na kuwapatia wanyama wake Mbwa na Paka utajiri wake wa dola milioni 2.8 ambayo ni tsh 7.2 bilioni. Kwa mujibu wa tovuti ya #BusinessInsider #Liu amefanya uwamuzi huo wa kutowapa watoto wake urithi kwa sababu hawakumjali alipokuwa mgonjwa bali Mbwa na Paka walikuwa kando yake muda wote, hivyo basi amefanya uwamuzi wa kuwapa mali hizo wanyama hao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live