Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Avunja rekodi ya Dunia akipika kwa saa 227

Image 25.png Chef Faila aliepika kwa saa 227

Thu, 11 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aitwaye Chef Faila anadaiwa kuipiku na kuvunja rekodi ya Alan Fisher kwa kupika masaa 227.

Aidha mwanamke huyo anasubiri uthibitisho kutoka kwa ‘Guinness World Records’ ambapo kupitia ukurasa wa X wa kitabu hicho cha rekodi za dunia, wametolewa majibu ya kuwa wanapitia video za siku zote ili kuthibitisha hilo.

Iwapo Chef Faila atafanikiwa, atakuwa mtu kutoka Ghana kuingia kwenye kitabu hicho.

Ikumbukwe kuwa rekodi hiyo ilishikiriwa na Alan Fisher ambaye alipika kwa saa 119, dakika 57 na sekunde 16, rekodi hiyo ilithibitishwa mwezi Novemba mwaka 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live