Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Avril amkana Mondi

Avril Na Diamond Avril amkana Mondi

Sat, 6 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki wa kike tokea 254 Kenya, Avril bado ameendela kukanusha tetesi za yeye kuwahi kutoka na supastaa wa Bongo, Diamond Platnumz akiweka wazi namna urafiki wao ulivyo.

Kwenye moja ya interview aliyo ifanya hivi karibuni nchini Kenya, Avril amedai Diamond ni rafiki bora kwake na huwa hawaongei ila ikitokea wamewasiliana, basi ni maongezi ya maana, kuna muda akitaka kutoa wimbo lazima amcheki Diamond, maana anayathamini sana mawazo yake na pia ana mchango mkubwa kwenye muziki wake.

Rumors za wawili hao kuwa wanadate zilianza tokea mwishoni mwa mwaka 2012, Avril alipo shiriki kwenye video ya kesho ya kwake Diamond kama video vixen.

Video hiyo imekuwa directed na Ogopa Videos tokea Kenya, na hadi sasa ina zaidi ya views milioni 3 YouTube.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live