Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Avatar yaujaza mfuko wa James Cameron

James Camerron Mtayarishaji wa filamu James Cameron

Tue, 14 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbali na “Avatar: The Way of Water” kuwa tayari imeingiza mzigo wa ($2.2 Billion) kwenye Box Office, Muongozaji Mkuu wa filamu hiyo James Cameron ametengeneza kiasi cha ($95M) zaidi ya TSh. BILIONI 222 kwa mwaka 2022 kupitia filamu hiyo, hivyo kumuweka nafasi ya 8 kwenye orodha ya waburudishaji (Entertainers), wasanii na watu maarufu waliotengeneza pesa nyingi zaidi kwa mwaka 2022.

Hii ndio TOP 10

1. Genesis - $230M 2. Sting • $210M 3. Tyler Perry• $175M 4. Trey Parker & Matt Stone • $160M 5. James L. Brooks & Matt Groening • $105M 6. Brad Pitt • $100M 7. Rolling Stones • $98M 8. James Cameron • $95M 9. Taylor Swift • $92M 10. Bad Bunny • $88M

Chanzo: www.tanzaniaweb.live