Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aunty: Mimi siyo Mungu

Ruby Na Aunt Aunty Ezekiel

Sat, 20 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aunty Ezekiel Grayson Jujuman; ni nembo ya Bongo Movies ambaye anasema kuwa hahitaji kuwa na machawa wa kumuabudu kwa sababu yeye siyo Mungu.

Aunty ambaye ni baby mama wa msanii Kusah anasema; “Sipendi kuabudiwa mimi siyo Mungu, ndiyo maana sina chawa, nahitaji marafiki wa levo yangu au walionizidi ili nijifunze zaidi.

“Watu wanasema nimetulia, sijui nimeacha manjonjo, ni kweli nimeshakua mtu mzima, mama wa watoto wawili, nafokasi zaidi kwenye kutafuta ili niitengeneze familia yangu…”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live