Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aunty Ezekiel atamani mtoto mwingine na Kusah

Aunt Kusah Aunty Ezekiel atamani mtoto mwingine na Kusah

Wed, 22 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa filamu Bongo Aunty Ezekiel ameweka wazi hisia zake za kutamani kupata mtoto mwingine na msanii Kusah.

Aunty Ezekiel ameshea picha ya mtoto wao Heisnoman na kuandika "Khaaa nyie, mwambie baba Nono natamani mwingine".

Tayari Aunty Ezekiel ana watoto wawili, wa kwanza anaitwa Cookie amempata na Mose Iyobo, wapili ni Heisnoma aliyempata na mpenzi wake wa sasa Kusah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live