Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aunty Ezekiel: Pamoja na kujitoa kwangu, Kusah utaniacha

Kusah Aunty Ml Aunty Ezekiel: Pamoja na kujitoa kwangu, Kusah utaniacha

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Filamu @auntyezekiel katumika ka video vixen kwenye ngoma mpya ya Mpenzi wake @kusah_ #Rafiki.

Staa wa Filamu @auntyezekiel katumika ka video vixen kwenye ngoma mpya ya Mpenzi wake @kusah_ #Rafiki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video hiyo na kuisindikiza na ujumbe akisema kuwa licha ya kukubali hadi kuwa video queen kwenye video ya muziki lakini bado #Kusah atamuacha tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live