Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aunt ajikondesha, awa mcharoo!

AUNT KUJIKONDESHA Aunt ajikondesha, awa mcharoo!

Tue, 16 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muonekano mpya wa staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel umekuwa gumzo hasa baada ya watu kumuona amepungua na kuwa na shepu nzuri.

Aunt ametupia picha inayomuonesha amepungua kwenye ukurasa wake wa Instagram na kusindikiza na ujumbe uliosomeka hivi:

“Endelea Kubisha MAZINGAOMBWE Yapo” aliandika Aunt huku akisindikiza emoji za kucheka.

Mastaa mbalimbali waliibuka kwenye comments ambapo wengi wao walimpongeza huku wakimtahadharisha asipungue zaidi kwani hatapendeza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live