Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aunt Ezekiel akutana uso kwa uso na Ruby

Aunt Ezekiel Akutana Uso Kwa Uso Na Ruby Aunt Ezekiel akutana uso kwa uso na Ruby

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Warembo wanaodaiwa kuwa na bifu Aunt Ezekiel na Ruby wamekutana uso kwa uso kwenye bethidei ya muigizaji Wema Sepetu iliyofanyika usiku wa kuamkia leo Septemba 29, 2023.

Waandishi waliokuwepo kwenye halfa hiyo, walimchukua Ruby na kumpeleka alipokuwa amekaa Aunt na kumtaka amsalimie.

"Hatuna neno sisi mnataka tusalimiane vipi wakati tushasalimiana? Mnataka tusalimiane kwa sababu ya kamera?" alisema Ruby.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live