Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AudioMPYA:Tresor alivyoimba kwa Kiswahili kwenye mdundo wa Dj Maphorisa

Fuuuuuu 660x400 AudioMPYA:Tresor alivyoimba kwa Kiswahili kwenye mdundo wa Dj Maphorisa

Wed, 16 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

NI Headlines za wakali wawili wanaounda kundi la Scorpion Kings kutokea nchini Afrika kusini Dj Maphorisa na Kabza De Small, wakali hao wamefahamika baada ya kutambulisha ladhaa mpya ya muziki wa nchini mwao unaofahamika kama Amapiano.

Mbali na kwamba album zao zinafanya vizuri soko, sasa time hii wameachia wimbo mpya walioshirikiana na mkali Tresor ambae amesikika akiimba kwa lugha ya Kiswahili, unaweza ukabonyeza play kuusikiliza hapa

MPAKA RAHA.. MUONE HAJI MANARA NA MKE WAKE WAKIWA HONEYMOON KAFUNGUKA “SIO LAZIMA UENDE DUBAI”

Chanzo: millardayo.com