Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AudioMPYA: Isikilize ngoma Mpya ya Abbah na Jux inaitwa ‘Blessings’

BBAEB49C 7049 417F BF8C 3FD61B6A0547 660x400.jpeg AudioMPYA: Isikilize ngoma Mpya ya Abbah na Jux inaitwa ‘Blessings’

Sat, 20 Feb 2021 Chanzo: millardayo.com

Blessings ni wimbo mpya wa mtayarishaji Abbah ambao unapatikana Kwenye album yake mpya ya The Evolution anayotarajia kuiachia next Week kama alivyotuahidi, wimbo huu kamshirikisha msanii Juma Jux.

 Abbah anatarajia kuizindua album hiyo tarehe 27 February 2021 na uzinduzi wake utafanyika huko Mwanza ukiwa na wasanii Jux, Darassa, Marioo na wengine.

Bonyeza PLAY hapa chini kuisikiliza kwa Mara ya kwanza

Chanzo: millardayo.com