Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AudioMPYA: Ferooz na Roma wamlilia Mkapa kwenye mdundo huu

20A7BE37 46DB 431F A182 26B69C024F21 660x400.png AudioMPYA: Ferooz na Roma wamlilia Mkapa kwenye mdundo huu

Thu, 30 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Wakati Taifa likiwa kwenye majonzi ya kuondokewa na Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, ambaye amezikwa July 29,2020 huko kwao Lupaso Mtwara, Msanii Ferooz na Roma Mkatoliki wameingia studio na kurecord wimbo huu unaoitwa ‘Nalia’ ambao tayari wameuachia na kukuwekea Youtube, unaweza kuusikiliza hapa chini.

Wakati Taifa likiwa kwenye majonzi ya kuondokewa na Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa, ambaye amezikwa July 29,2020 huko kwao Lupaso Mtwara, Msanii Ferooz na Roma Mkatoliki wameingia studio na kurecord wimbo huu unaoitwa ‘Nalia’ ambao tayari wameuachia na kukuwekea Youtube, unaweza kuusikiliza hapa chini. Bonyeza PLAY kuusikiliza.

Chanzo: millardayo.com