Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Atupwa jela kwa kuwadanganya wanaume watatu kuwa ana Ujauzito wao

Jela Uongoo Atupwa jela kwa kuwadanganya wanaume watatu kuwa ana Ujauzito wao

Sun, 25 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja huko nchini Uingereza aliyefahamika kwa jina la Jennifer Tait amekutana na hukumu ya kwenda jela miaka miwili baada ya kuwalaghai wanaume 3 kuwa ana ujauzito wao.

Mwanamke mmoja huko nchini Uingereza aliyefahamika kwa jina la Jennifer Tait amekutana na hukumu ya kwenda jela miaka miwili baada ya kuwalaghai wanaume 3 kuwa ana ujauzito wao. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 37 alikutana na wanaume hao kwenye mtandao wa Tinder na inadaiwa aliwapeleka wanaume hao Hospital kwa muda tofauti na kutengeneza vyeti feki kuwa ni mjamzito kitu ambacho mahakama ilibaini kuwa ni uongo na alikuwa na njama zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live