Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Atupwa Jela miaka mitano kwa kukataa kulitumikia Jeshi

Muhammad Ali Jail Bondia Muhammad Ali

Thu, 7 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 1967 Bondia Muhammad Ali Alivuliwa Taji Lake la Uzito wa Juu Aliloshinda na Kuhukumiwa Kifungo cha Miaka 5 Jela Kisa tu Alikataa Kulitumikia Jeshi la US Katika Vita vya Vietnam (1955-1975) Alisema: “Kwa nini nipigane nao? Hawajawahi kunifanyia ubaya wowote, na wala hawajawahi kuniita mchafu.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live