Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Atoka Ufaransa kuja kumuona 'House girl' aliemlea utotoni

House Girl Ufaransa Atoka Ufaransa kuja kumuona 'House girl' aliemlea utotoni

Sat, 25 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja nchini Ufaransa alisafiri hadi Ivory Coast kumtafuta 'yaya' dada wa kazi ambaye alikuwa akimlea miaka 38 iliyopita.

Hakuweza kuficha furaha yake baada ya kukutana na mwanamke huyo ambaye kwa sasa amekuwa mtu mzima. Alimpa faranga milioni 10 na kumtengea mshahara wa kila mwezi.

Baba yake mwanaume huyo ambaye ni mstaafu aliwahi kufanya kazi nchini Ivory Coast miaka ya 80 kabla ya kuacha kazi yake na kuhamia Ufaransa .

Je unamkumbuka dada wa kazi aliyekulea ukiwa mdogo? Ulishawahi kukutana naye?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live