Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Atembea kutoka Afrika ya Kusini mpaka Tunisia

Atembeaaaa Atembea kutoka Afrika ya Kusini mpaka Tunisia

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Russell Cook, raia wa Uingereza amekusanya TZS milioni 616 katika kampeni yake ya kukimbia kutoka Afrika Kusini hadi Tunisia ambapo amefikisha siku ya 310 akikimbia, na sasa yupo nchini Mauritania.

Russell Cook, raia wa Uingereza amekusanya TZS milioni 616 katika kampeni yake ya kukimbia kutoka Afrika Kusini hadi Tunisia ambapo amefikisha siku ya 310 akikimbia, na sasa yupo nchini Mauritania. Cook alianza kukimbia Aprili 22 mwaka jana na anatarajiwa kufika Tunisia Aprili 7 mwaka huu, kampeni ambayo inalenga kukusanya fedha kwa ajili ya The Running Charity.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live