Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aslay auelezea waraka alioutoa ‘Watu Wanataka Kunishusha’ (Video)

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii Aslay Isihaka amesema aliandika waraka mtandaoni unaomuhusu mama yake ambaye alifariki dunia mwaka mmoja uliopita baada ya kuona kuna baadhi ya vitu anavikosa huku akidai kuna maadui ambao wamepanga kumshusha hivyo kama mama yake angekuwepo angemshauri mambo kadhaa kuhusu maisha yake.

Chanzo: bongo5.com