Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aslay atangaza ujio mpya, kusherehekea miaka 10 ya Bongo Fleva

Aslay Agfunguka Kupotea Kwenye Gemu Aslay atangaza ujio mpya, kusherehekea miaka 10 ya Bongo Fleva

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva ametangaza ujio wa tamasha lake ambalo linatarajiwa kufanyika Mwezi wa 8.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video hiyo nakuandika.

"Dear Mashabiki wa Aslay, Mashabiki wa mziki mzuri, mashabiki wa Bongo Flava, mashabiki wa mziki wa Africa. Ninafuraha sana kuwataarifu, baada ya miaka 5! Kipenzi cha Tanzania Aslay Isihaka Nassoro narudi on stage for a LIVE Concert kusherekea Miaka Yangu 10 Kwenye Mziki. Details za wapi? Lini? Nani? Vipi ? Stay tuned. Ni concert ya mwaka “Celebrating Aslay, The Bongo Flava Icon.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live