Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aslay afunguka ishu ya kuiba daftari la nyimbo la Yamoto Band (Video)

Thu, 25 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa muziki, Aslay Isihaka amefunguka kuzungumzia tetesi ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba ameiba daftari la nyimbo la Yamoto Band. Muimbaji huyo amesema hakuna kitu kama hicho huku akidai baadhi ya mashabiki katika mitandao ya kijamii ndio walioanzisha kitu hicho.

Chanzo: bongo5.com