Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aslay: Pombe, wanawake vilipoteza

Aslay Kulipua Goma Jipya Leo Aslay: Pombe, wanawake vilipoteza

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji wa Bongo Fleva, Aslay amesema kuna kipindi pombe na wanawake vilimchanganya hadi kufikia hatua ya kusahau kabisa kazi yake ya muziki.

"Starehe zilikuwa ni nyingi kwa sababu nilikuwa naweza kufanya kitu chochote kwa sababu fedha nilikuwa nazo, kwa hiyo kujiamulia kufanya kitu nilikuwa na uwezo huo" anasema na kuongeza.

"Baadaye nikaingia kwenye pombe, wanawake hadi sasa nikawa nasahau kilichonifanya hadi vitu vyote vikanifuata," anasema Aslay.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live