Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aslay: Nianze na albam au EP?

Aslay Kulipua Goma Jipya Leo Aslay Isihaka

Mon, 6 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Felva, Aslay Isihaka amewauliza mashabiki zake iwapo aanze na kutoa alba mama Extended Playlist (EP).

Kwa mujibu wa watu wake wa karibu, huenda Aslay akaachia EP yake mpya yenye nyimbo 10 hivi karibuni ikiwa ni njia ya kujisogeza kuipokea album yake ambayo nayo ametangaza kuachia mwaka huu.

Mkali huyo wa nyimbo za mahaba kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika; “Kabla ya album, si tudondoshe tu hata ka EP kenye nyimbo kumi tu?”

Je, natamani kwenye ep hiyo ya Aslay msanii gani asikose?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live