Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Asie na mikono wala miguu apanda Mlima Kilimanjaro bila usaidizi

Mlemvu Kilimanjaro Kyle Maynard

Wed, 17 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya kutokuwa na miguu wala mikono lakini Kyle Maynard kutoka nchini Marekani mwaka 2012 aliwashangaza wengi kwa kufanikiwa kupanda Mlima Kilimanjaro bila usaidizi.

Licha ya kutokuwa na miguu wala mikono lakini Kyle Maynard kutoka nchini Marekani mwaka 2012 aliwashangaza wengi kwa kufanikiwa kupanda Mlima Kilimanjaro bila usaidizi. Kyle alitumia siku 10 kupanda urefu wa mita 5895 za Mlima huo mrefu zaidi barani Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live