Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Ashiriki shindano la wenye sura mbaya ili alishe familia

Sura Mbaya.png Ashiriki shindano la wenye sura mbaya ili alishe familia

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je, Wajua? Mary Ann Bevan mwanamke raia wa Uingereza alizaliwa mwaka 1874 na mwaka 1902 aliolewa na kuzaa watoto wanne.

Mwaka 1914 baada ya mume wake kufariki na maisha kuwa magumu alikubali kutumika kwenye maonyesho mbalimbali kama mwanamke mwenye sura mbaya zaidi duniani ili aweze kupata fedha za kujikimu na kulea watoto wake.

Usilolijua ni kwamba Mary hakuzaliwa hivyo alikuwa mrembo kabisa, lakini ugonjwa wa ajabu ulimtokea na baada ya muda akajikuta kwenye hali hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live