Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asap Rocky kufunga ndoa na Rihanna

Rihanna TravisScott Asap Rocky kufunga ndoa na Rihanna

Mon, 9 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni kama kengele za ndoa zitagonga hivi karibuni kwa Mastaa kutokea nchini Marekani, Rihanna na A$AP Rocky.

Inadaiwa kuwa wawili hao watafunga pingu za maisha mwezi ujao. Mwezi Mei mwaka Jana walibarikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wakiwa pamoja.

Rihanna aliwahi kutoka kimapenzi na mwanamuziki Chris Brown.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live