Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asake awaimbisha Dubai 'Lonely at the top'

Asake Tr Asake awaimbisha Dubai 'Lonely at the top'

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji maarufu wa Afrobeats, Ahmed Ololade aka Asake amewaimbisha mashabiki zake mstari kwa mstari ngoma yake ya 'Lonely at the top' kwenye tamasha la Muziki la Untold huko Dubai .

Tamasha hilo lilifanyika kwa siku nne mfululizo kuanzia Februari 15 - 18 likihusisha wasanii mbalimbali wakubwa akiwemo Mr Money with the vibe.

Untold Festival Dubai ni moja ya matamasha makubwa barani Ulaya lililoandaliwa kufuatia kuandaliwa kwa mafanikio kwa mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia ya nchi (Cop28) huko Expo City Dubai ambapo hujaza watu 70K.

Unaipa asilimia ngapi performance yake?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live