Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asake atamani kufanya kolabo na Kanye West

Asake And Kanye West.png Asake atamani kufanya kolabo na Kanye West

Thu, 7 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Asake ameweka wazi kuwa kwa sasa anatamani na angependa kufanya ‘kolabo’ na msanii kutoka nchini Marekani Kanye West.

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Asake ameweka wazi kuwa kwa sasa anatamani na angependa kufanya ‘kolabo’ na msanii kutoka nchini Marekani Kanye West. Asake kupitia mahojiano yake na Billboard News ameeleza kuwa ndoto yake kubwa ambayo anatamani kuitimiza ni kufanya ‘kolabo’ na ‘rapa’ huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live