Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asake apiga mkwanja mrefu Dubai

ASAKE Asake apiga mkwanja mrefu Dubai

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Asake, anadaiwa kulipwa Euro 500K ambazo ni zaidi ya tsh 1.37 bilioni kwa ajili ya kutumbuiza kwenye onesho la la muziki ‘Untold’ nchini Dubai.

Inaelezwa kuwa msanii huyo alikuwa miongoni wa wasanii waliotumbuiza kwenye tamasha hilo la kimataifa lililofanyika kwa siku nne mfululizo kuanzia Februari 15 hadi 18.

Hata hivyo Untold linaonekana kuwa moja ya onesho kubwa zaidi la muziki kutokana na mafanikio ya mkutano wa kimataifa wa mabadiliko ya tabia ya nchi. .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live