Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Asake amkumbuka Mohbad

Asake Tr Asake amkumbuka Mohbad

Tue, 26 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Asake, ameibua hisia kwa mashabiki katika tamasha lake baada ya kutanguliza video na picha mbalimbali za marehemu Mohbad aliyefariki Septemba 12, mwaka huu.

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Asake, ameibua hisia kwa mashabiki katika tamasha lake baada ya kutanguliza video na picha mbalimbali za marehemu Mohbad aliyefariki Septemba 12, mwaka huu. Tamasha hilo la Flytime lililofanyika jiji Lagos usiku wa kuamkia leo, Asake alieleza kuwa amefanya hivyo kwa lengo la kutoa pongezi kwa marehemu Mohbad katika kupambania ndoto zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live